NI WAKATI
WA KUMUABUDU BABA
Katika kitabu cha (YOHANA MTAKATIFU 4:23).
Neno linasema
kuwa, lakini saa inakuja nayo sasa ipo. Ambayo waabuduo halisi wata
mwabudu baba katika ROHO na kweli. kwamaana baba awatafuta watu kama hao
wamwabudu.
Waabuduo halisi niwale wanao mwabudu MUNGU BABA katika ROHO na
kweli, wapendwa kimefika kipindi cha kuacha utani na maswala ya ibada.
kwakua mwisho umekaribia sanaa. ibada yoyote inayo fanywa bila uwepo wa
ROHO MTAKATIFU ni ibada ya sanamu. Ibada ya namna hiyo hutaona uwepo wa
MUNGU bali ni maigizo katika ibada kwa sababu ya mapokeo ya wanadamu
katika
(1KORITHO3:10) Neno linasema kwa kadri ya nehema ya MUNGU niliopewa
mimi kama mkuu wa wajenzi mwenye hekima naliweka msingi na mtu mwingine
anajenga juu yake. lakini kila mtu na angalie jinsi anvyojenga juu
yake.
katika ibada unayo mpa MUNGU kila siku , angalia je unayafanya yalio
mapeznzi ya MUNGU? au nimatakwa ya wanadamu. kila mtu atatowa hesabu ya
ibada yake mbele za BWANA.
(1KORITHO3:11) neno linasema maana msingi mwingine hakuna mtu awezae
kuuweka. isipokuwa ni ule uliokwisha kuwekwa yani YESU KRISTO.nikwalike
unapo fanya ibada manisha kwamaana zamani hizi nizauovu .Watu
wanautukuza ushetani kuliko MUNGU,watu wanautukuza ufreemason,kuliko
YESU BWANA wanatukuza pepo kuliko RO
HO MTAKATIFU ,wanatukuza kuzimu kuliko mbinguni
(2KORITHO3:17)
basi BWANA ndiye ROHO walakini alipo ROHO WA BWANA hapondipo penye
uhuru mluhusu ROHO WA BWANA atawale maisha yako ili upate uhuru kamili.
Kamwehautautukuza ushetani maishani mwako
(2KORITHO3;16)
Lakini wakati wowote utakapo mgeukia BWANA ule utaji wa kutuza ushetani
utaondolewa. Upoutaji ulio kufunika.ndiyo maana unauona ushetani kuliko
MUNGU na wakati huwo unasahau kuwa MUNGU NI MKUU zidi ya shetani.
shetani sii kitu mbele zake.
Vipo vitu vingi vinavyoleta utaji katika maisha yako ya rohoni.
Unashindwa
kuona mbali 1. Inaweza ikawa ukoo wako.2 Dini za mababu na mapokeo ya
dini, 3, Rafiki zako,4, Ekimu yako,5, Utajiri wako 6, Ndoa yako nk hivyo
vyote vinaweza vikawa utaji katika maisha yako ukawa kipofu ,ukashidwa
kumuona MUNGU. ROHO WA MUNGU akusaidie ,macho yako yafunguke. ukamuone
MUNGU maishani mwako wala sio shetani.
Ndugu somo hili lina mapana sana kwaushauri zaidi wasiliana nami kwakutumia number hii +255 759 893 359 au +255 787 410 346
BWANA WETU YESU AKUBARIKI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni