Bwana YESU asifiwe, Mbarikiwe na BWANA.
Naomba
niitambulishe huduma hii kwenu, MUNGU amekuwa akitutumia katika viwango
vikubwa sana. wagonjwa wamekuwa wakipona, waliofungwa na nguvu za giza
wamekuwa wakiwekwa huru, na watu wamekuwa wakishudia matendo makuu ya
MUNGU kutokana na huduma hii.
Unakaribishwa wewe, mwambie na mwingine kwenye muujiza wako.
MAWASILIANO
PIGA NAMBA +255 759893359 au +255 787410346
P.O.BOX 1466 MBEYA-TANZANIA
Nawakaribisha kutembelea ukurasa huu mara kwa mara kwaajiri ya kujifunza zaidi neno la MUNGU,
*****************************MUBARIKIWE************************
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni